Betty: sasa wewe kwa mwezi ama ukiuza gari huwa unalipwa kama ngapi hivi na car soko? Goliath: Madam naeza kuuliza kitoko? Berry: yeah uliza... Goliath: wewe unaeza sema kwa mwezi huwa unalipwa pesa ngapi na Tv 47 Betty: apana unajua yangu ni kwa mwezi but wewe unalipwa na commission na nishawai sikua uliwa pewa commission ya 500k Goliath: hiyo ni siri yangu na possi yangu bora nakaa vizuri nalala vizuri naamka vizuri nakaa kwa pikipiki yangu naingia job basi.

siddes (@siddessocial)

2 reactions

0 comments

Loading your feed

Loading shell...

Join to post, comment, and save your favorites